KCMCSO 2017/2018


kcmcso godfrey tangible

Uongozi wa KCMCSO unawapongeza wote kwa kuwa pamoja tena katika mwaka huu 2018,
zaidi tuna mengi yakufanya  na mengi ya kujifunza  ilikututoa katika hali tuLizonazo na kutupa proffesional zetu zenye majina tofauti tofauti. kwa upande wa serikali ya wanafunzi tumejipanga mengi kuyafanya licha ya kuwepo kwa changamoto  za hapa na pale tuna amini kuyafikia yale tunayo yafikilia katika fikra zetu na kuwa katika vitu halisi.
zaidi ya yote  tunawatakieni heri ya mwaka mpya 
Ahsanteni sana.

BY
  MINISTER OF COMMUNICATION,INFORMATION 
AND 
CO-ORDINATION

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUPATA MTOTO WA KIUME

MISEMO HASI YA WAHENGA..

USIOGOPE KUFANYA USALITI NA KUWAKIMBIA WATU HAWA