KCMCSO 2017/2018
![]() |
| kcmcso godfrey tangible |
Uongozi wa KCMCSO unawapongeza wote kwa kuwa pamoja tena katika mwaka huu 2018,
zaidi tuna mengi yakufanya na mengi ya kujifunza ilikututoa katika hali tuLizonazo na kutupa proffesional zetu zenye majina tofauti tofauti. kwa upande wa serikali ya wanafunzi tumejipanga mengi kuyafanya licha ya kuwepo kwa changamoto za hapa na pale tuna amini kuyafikia yale tunayo yafikilia katika fikra zetu na kuwa katika vitu halisi.
zaidi ya yote tunawatakieni heri ya mwaka mpya
Ahsanteni sana.
BY
MINISTER OF COMMUNICATION,INFORMATION
AND
CO-ORDINATION

happy new year guyz
ReplyDeleteGreat brother
ReplyDelete