NAMNA YA KUPATA MTOTO WA KIUME
_SWALI_ : *JE NAWEZAJE KUPATA MTOTO WA KIUME KWA KUHUSISHA UZAZI WA MPANGO* ?
Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume
Uzazi wa mpango ni jumla ya vitu vingi sana
Uzazi wa mpango hauhusu kuzuia kupata ujauzito tu bali hata kupangilia idadi na jinsia za watoto ni moja ya njia za uzazi wa mpango..
Wanandoa wengi wamekua wakitamani kupata jinsia flani za watoto ili wapate watoto wachache.
Hata hivyo wakati mwingine inatokea wanapata watoto wa jinsia moja tu ya kike na hivyo hujikuta wakizaa watoto wengi wakati wakitafuta jinsia husika yaani mtoto wa kiume.
Zipo familia ambazo hufikia hadi kugombana na kutengana kwa sababu hii.
Baadhi ya kabila na koo za watu upande wa kiume hufikia hatua ya kuvunja ndoa kabisa hasa inapotokea mama anazaa watoto wa kike tu.
Kwenye makala hii naenda kumaliza kitendawili hiki kwa kukueleza njia ambazo zinaweza kufanya mtu kupata mtoto wa kiume kwa asilimia nyingi.
Endelea kusoma …
Kisayansi mbegu zinazotoa mtoto wa kiume zinaitwa XY.
Mbegu hizi zinapotoka kwa mwanaume huenda kwa mwendo wa kasi sana kwenda kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke lakini shida kubwa ni kuwa mbegu hizi XY hufa haraka SANA zikiwa njiani.
Wakati mbegu zinazotoa mtoto wa kike zinaitwa XX.
Mbegu hizi husafiri taratibu na huchelewa kufika ndani ya mfuko wa uzazi. Kwakuwa mbegu hizi yaani XX huweza kuvumilia hali mbaya ya kimazingira ndani ya mfuko wa uzazi wa mwanamke.
Kwahiyo namna pekee ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume ni kuhakikisha mbegu za kiume XY zinakutana na mayai ya kike kwenye mfuko wa uzazi haraka kabla hazijafa ….
Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume:
1. Shiriki tendo la ndoa siku mayai ya mkeo yanapokua yameshuka
Unaposhiriki tendo la ndoa siku hii ambayo yai linakua limeshuka (ovulation day) mbegu za kiume huweza kufika mapema na kujiunga na mayai ya kike na kuunda ujauzito.
Kwa kawaida huwa ni siku ya 14 kabla ya kuona damu ya mwezi unaofuata na siyo baada ya kuona siku zako.
Ikiwa wewe mwanamke huifahamu siku yai linapokuwa limeshuka basi tumia ishara ya kuongezeka kwa joto mwilini mwako.
Pima joto la mwili wako. Nunua kifaa cha kupimia joto (thermometer) na ujipime joto la mwili wako kila siku asubuhi.
Siku ukipima ukaona joto limeongezeka kidogo basi ujue yai limeshuka (ovulation day) na hiyo ndio siku hasa ya kutafuta mtoto wa kiume.
Pia angalia maji maji ya uke. Shika maji maji ya uke wako na kwa kawaida siku yai likiwa limeshuka utaona maji ya uke kuwa ni mazito na yanavutika kama maji ya mayai mabichi.
2. Mwanaume ongeza idadi ya mbegu zako
Mwanaume unatakiwa uongeze wingi wa mbegu zako (sperm count). Hili linawezekana hasa kwa kukaa siku mbili mpaka tano bila kushiriki tendo la ndoa wakati ukisubiri mke aanze kuona yai linashuka (ovulation day).
Pia hakikisha hauvai nguo za kubana sana na usikae mazingira ya joto sana.
Kwa kawaida korodani zinatengeneza mbegu nyingi zaidi wakati wa hali ya ubaridi kuliko kwenye joto hivyo mwanaume unatakiwa kuepuka kuvaa nguo zilizobana sana, acha kuweka laptop kwenye mapaja, acha kuvuta sigara na kunywa pombe.
Wanaume wanaokunywa pombe na kuvuta sigara wanapata tatizo la kuwa na mbegu chache na mbegu kidogo sawa sawa na wavutaji wa bangi na watumia madawa mengine ya kulevya.
Pia ikiwa mwanaume anatumia dawa za kutibu saratani pia husababisha uzalishaji wa mbegu kuwa mdogo.
3. Tumia staili za tendo la ndoa ambazo zinahamasisha muingilio mkubwa
Staili hizi huzipa faida mbegu za mtoto wa kiume yaani XY kufika haraka na kufanya utungwaji wa mimba kuwa rahisi.
Unahitaji utumie staili ambazo zinawezesha mwingiliano mkubwa (deep penetration) na hii ni mhimu hasa kama wewe mwanaume una kibamia.
Wakati unapotumia staili za mwingiliano mdogo (shallow penetration) husababisha mbegu kumwagwa mbali na mlango wa mfuko wa uzazi na hivyo mbegu huweza kukutana na hali ya tindikali kwenye uke hivyo mbegu za mtoto wa kiume kufa haraka na kuziacha mbegu zinazotoa mtoto wa kike (XX) kutungisha ujauzito na hapo anatokea mtoto wa kike.
4. Hakikisha mwanamke anafika kileleni kwanza
Wakati wa tendo la ndoa mwanaume hakikisha mkeo anafika kileleni kwanza kabla ya wewe.
Mwanamke anapofika kileleni huwa anatoa maji mengi ukeni ambayo hupunguza wingi wa tindikali ambayo ni adui wa mbegu zote hasa mbegu za mtoto wa kiume XY ambazo huwa haziwezi kuvumilia hali ngumu ya kimazingira.
Sasa mwanaume utahitaji kuchelewa kufika kileleni lakini uonapo tu mama amefika kileelni basi na wewe ufike muda huo kabla hakujakauka. Namna rahisi kama wewe ni mtu wa kukojoa haraka ni kumuandaa vya kutosha mkeo wengine hufikia hata kumnyonya kinembe mkewe kwa dakika kadhaa na hapo hatachelewa kufika kileleni.
Hapa nguvu za kiume zinahitajika sana. Pia ni mhimu mwanaume uzifahamu dalili za mwanamke anapofika kileleni huwa anakuwaje.
5. Usifanye tendo la ndoa kabla na baada ya yai kushuka
Kabla ya siku yai kushuka (ovulation day) kawaida mbegu za mtoto wa kiume XY hufika haraka kwenye mfuko wa uzazi kama kawaida na kukuta mayai ya mwanamke hayajafika na kufa vivo hivyo baada ya siku hii kupita.
Tumia kila mbinu kila elimu kuhakikisha unaifahamu siku hii yai linaposhuka kwani ndiyo siku pekee yenye uhakika wa kutungisha mtoto wa jinsia ya kiume.
6. Mwanamke aepuke vyakula na vinywaji vyenye asidi
Mwanamke anatakiwa kwa kipindi kirefu ale vyakula na anywe vinywaji visivyo na asidi (tindikali).
Vitu vinavyoongeza asidi mwilini ni pamoja na vyakula vya kusisimua (spiced foods), vyakula vya mafuta, uvutaji wa sigara, pombe, chai ya rangi, kahawa, baadhi ya dawa tunazotumia kujitibu maradhi mbalimbali mwilini, maziwa na bidhaa zingine zitokakanazo na maziwa n.k.
Vyakula visivyo na asidi nyingi ni pamoja na matunda, mboga za majani, maji ya kunywa, mbegu mbegu (za karanga, za ufuta, korosho, za maboga nk), apendelee kula uyoga pia.
Mwisho wa siku usiache kumuomba Mungu kwani yeye ndiye muweza wa yote.
Nashukuru..

Very strong
ReplyDeleteAppreciate
DeleteNice
ReplyDeleteKonki
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteSolute
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteYes afcose
ReplyDeleteUfafanuzi kushuka kwa yai la mwanamke ni siku IPI kuringana na siku tofauti za hedhi ya mwanamke? Tumeona kuwa kuna wanaoenda siku 36 wapo was 28 na wa siku 21 kama itawezekana tujue kwa mifano kwa kila kundi LA hedhi asante
ReplyDeleteSiku 14 Kabla Hajaanza Kubreed
DeleteSijaelewa siku kumi na nne au siku ya kumi na nne
DeleteKujua siku yako ya kumi na nne (ovulation day). Unaanza unachukua wastani wa mzunguko wako kwa mizunguko ya miezi mitatu mf 30,31,28 unapata wastani ni 29.6 sasa unajua ww wastani wako ni siku 29 basi unahesabu siku ya 14 kutoka siku 29.
DeleteUnapoanza tu period ni siku ya kwanza, pia unaangalia dalili ya siku hiyo. Ikiwa ni pamoja na kuongezeka joto.
Sina Siku maalumu kwamfano mwezi wa 2 niliblidi tarehe 17 mwezi huu watatu nimeblidi tarehe 3 Siku zahatari nizipi
ReplyDeleteTuwasiliane kwa 0629 15 17 39 nitakuelezea vema
DeleteMasomo mazuri haya ,hongera kwa maandalizi mazuri
ReplyDeleteAsante tupo pamoja
DeleteAsante Sana kwa somo zuri,Na Kama mwanamke siku zake zimevurugika anawezaje kujua siku ya yai kushika?
ReplyDeleteWastani wa mizunguko mitatu utajua mzunguko wako ni upi. Tuwasiliane via 0629 15 17 39
DeleteNaomba kujuwa, hivi ukishiriki na mwanamke siku 2 kabla ya yai kushuka na ukashiriki naye tena siku ya yai kushuka,. Je ni aina gani ya mbegu (XY au XX) ambayo itatangulia kuingia ili yai lifunge?
ReplyDeleteMbegu za xx zitawahi. Ili xy ziwahi shiriki tendo siku ya ovulation
DeleteDuh mim naanza kuhesabu tangu siku ya kwanza ninayoanza bleed Hadi siku ya 14 ndonajua unapata mtoto wa kiume I mean ile siku ya 14 ndoukisex unapata wa kiume na he ukisex siku ya 13 unaeza pata wa kiume pia ??au mim ndosijui vizur ... naomba majibu tafadhali
ReplyDeleteSiku ya ovulation ni siku ya kumi na nne. Kwa wastani wa mzunguko. Hivo siku ya kumi na tatu ovulation bado
DeleteHabari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.
ReplyDeleteWhatsApp; +31 687 329 133
Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon
Mapacha je inakuwaje?
ReplyDeleteMapacha tupigie via 0629 15 17 39
Delete