Posts

Image

USIOGOPE KUFANYA USALITI NA KUWAKIMBIA WATU HAWA

Image
MARAFIKI WA KUWASALITI NA KUWAKIMBIA. MARAFIKI 6 AMBAO UKIWASALITI UTAWEZA KUPIGA HATUA KATIKA JAMBO UNALOTAKA KUFANYA. 1. MADHARAU (CONTEMPT) Huyu ni rafiki ambaye kila mda anakushauri kuwa wale watu ambao unadhani wanaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine hawana uwezo wowote wa kukusaidia. Kila mara anakutajia madhaifu yao, eti unamfuata fulani kwa kipi, kwa lipi analoweza kukusaidia ?. Ukiweza kumsaliti na kuachana na huyu rafiki hakika utajenga msingi na marafiki wa faida kama vile heshima na kuweza kuthamini uwepo wa watu wengine kwamba wapo kwa ajili ya kukusaidia wewe. 2. ENEO LA FARAJA (COMFORT ZONE) Huyu ni rafiki ambaye anajifanya kuwa ana huruma sana na wewe, kiasi kwamba hataki hata kukuona ukijaribu kufanya kitu kipya au kinaochonekana kuwa kigumu, kutisha, au hatari. Kila mara utasikia anakuambia achana nayo utaumia, utashindwa au utaabika. Hakika ukiweza kumsaliti huyu rafiki pendwa, utajenga urafiki na watu kama vile ujasiri, udhubutu, na kujiamini, mwi...

NAMNA YA KUPATA MTOTO WA KIUME

Image
_SWALI_ : *JE NAWEZAJE KUPATA MTOTO WA KIUME KWA KUHUSISHA UZAZI WA MPANGO* ? Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume Uzazi wa mpango ni jumla ya vitu vingi sana Uzazi wa mpango hauhusu kuzuia kupata ujauzito tu bali hata kupangilia idadi na jinsia za watoto ni moja ya njia za uzazi wa mpango.. Wanandoa wengi wamekua wakitamani kupata jinsia flani za watoto ili wapate watoto wachache. Hata hivyo wakati mwingine inatokea wanapata watoto wa jinsia moja tu ya kike na hivyo hujikuta wakizaa watoto wengi wakati wakitafuta jinsia husika yaani mtoto wa kiume. Zipo familia ambazo hufikia hadi kugombana na kutengana kwa sababu hii. Baadhi ya kabila na koo za watu upande wa kiume hufikia hatua ya kuvunja ndoa kabisa hasa inapotokea mama anazaa watoto wa kike tu. Kwenye makala hii naenda kumaliza kitendawili hiki kwa kukueleza njia ambazo zinaweza kufanya mtu kupata mtoto wa kiume kwa asilimia nyingi. Endelea kusoma … Kisayansi mbegu zinazotoa mtoto wa kiume zinaitwa XY. M...

MISEMO HASI YA WAHENGA..

repost *NABADILISHA MISEMO HII YA WAHENGA* Barani Afrika kuna misemo mingi ya wahenga ambayo watu wengi sana hupenda kuitumia bila hata kufikiri sawa sawa. Kuna siku nilitafakari nikagundua hata enzi za wahenga walikuwepo wahenga wazembe na wavivu, walevi, wanga, watenda maovu na watenda mema na misemo walisema mingi ili kuhalalisha hali walizokuwa nazo. Hivyo siyo kila msemo wa wahenga unabusara ndani yake. Siyo kila mzee unayemuona anabusara ndani yake maana hata wajinga nao wanazeeka. Usifirikiri mtu aliyekuwa na ujinga mwingi katika utu uzima wake anaweza akawa na busara nyingi akizeeka. Kuna wazee ukisikiliza ushauri wao unapotea fasta tu. Kwa mfano: Msemo unaosema, “Mashika mawili moja humponyoka”, Huu msemo si sawa maana ni mhenga fulani ambaye alikuwa hawezi kufanya kitu zaidi ya kimoja kwa mara moja na akavifanyikisha vyote ndio alisema msemo huu kuhalalisha uwezo wake alionao. Sasa kijana wa leo utasikia na yeye na uvivu wake anasema hivyo hivyo. Ngoja nikuoneshe ki...

SABABU ZA UKE KUWA MKAVU..

(5)hivi uke kuwa mkavu inasababishwa na nini?    *MAANA YA UKE* . Uke (Vaginal orifice) ni uwazi uliochini ya urethra. Ni moja kati ya viungo vya uzazi vya Mwanamke. Uwazi huu unatofautiana katika muonekano na ukubwa kulingana na membrani nyembamba inayoitwa hymen.  *KAZI ZA UKE* ☆Kupitisha damu ya hedhi. ☆Kuruhusu uume kufika sememu za ndani ya viungo vya uzazi vya mwanamke wakati wa kujamiana. ☆Kupokea shahawa wakati wa kujamiana. ☆Kupitisha mwili wa mtoto wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida (SVD).  *SABABU ZA UKE KUWA MKAVU* Ikimbukwe ni salama kwa uke kuwa mkavu katika mazingira yasiyo ya kujamiiana. Pia sio kiafya kwa uke kuwa mkavu wakati wa kujamiana na pia wakati mwingine huwa ni tatizo la kiafya. ♧Maandalizi yasiyotosheleza kabla ya kujamiana husababisha uke kuwa mkavu maana mwanamke anakuwa hayuko tayari kiakili kufanya tendo la kujamiiana. ♧Kukauka kwa uke katika umri wa 45+ huwa ni kiashiria cha ukomo wa hedhi kwa...

KCMC-SO LEADERS

Image