NAMNA YA KUPATA MTOTO WA KIUME
_SWALI_ : *JE NAWEZAJE KUPATA MTOTO WA KIUME KWA KUHUSISHA UZAZI WA MPANGO* ? Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume Uzazi wa mpango ni jumla ya vitu vingi sana Uzazi wa mpango hauhusu kuzuia kupata ujauzito tu bali hata kupangilia idadi na jinsia za watoto ni moja ya njia za uzazi wa mpango.. Wanandoa wengi wamekua wakitamani kupata jinsia flani za watoto ili wapate watoto wachache. Hata hivyo wakati mwingine inatokea wanapata watoto wa jinsia moja tu ya kike na hivyo hujikuta wakizaa watoto wengi wakati wakitafuta jinsia husika yaani mtoto wa kiume. Zipo familia ambazo hufikia hadi kugombana na kutengana kwa sababu hii. Baadhi ya kabila na koo za watu upande wa kiume hufikia hatua ya kuvunja ndoa kabisa hasa inapotokea mama anazaa watoto wa kike tu. Kwenye makala hii naenda kumaliza kitendawili hiki kwa kukueleza njia ambazo zinaweza kufanya mtu kupata mtoto wa kiume kwa asilimia nyingi. Endelea kusoma … Kisayansi mbegu zinazotoa mtoto wa kiume zinaitwa XY. M...
Comments
Post a Comment